Ticker

3/recent/ticker-posts

NJIA TATU AMBAZO ZITAKUINGIZIA KIPATO MTANDAONI.

 Njia tatu ambazo zitakuingizia kipato mtandaoni.

Kuna watu wengi duniani na kuna matatizo mengi duniani kwaiyo kama dunia inawatu wengi basi pia fursa zipo nyingi kwanza tuachane na ayo tuje na jambo lililo tuleta Leo.kuna fursa nyingi mtandaoni lakini leo nimekuletea fursa kuu tatu ambazo zitakusaidia kwa namna moja na katika fursa hizo lazima uwe na moyo na uchukulie kama kazi zingine sio kwasababu nimesema mtandaoni kwaiyo ukajua ni mteremko no inaitaji moyo na ubunifu.


Kutokana na mabadiliko ya ki technology bass kuna mambo mengi sana na najua umewahi kukutana na mambo au vitu ambavyo wanakwambia pesa online sio application au website lakini hizo zote haziwezi kukutajirisha lakini kupitia makala ya Leo nitakupa vitu vitatu ambavyo pia vinaweza kukutajirisha.

 Njia tatu zitakazo kuingizia kipato mtandaoni.

1.YOUTUBE

Moja au yakwanza ni YouTube najua kama unatumia simu au smartphone utakua unaijua vizuri hii YouTube ni mtandaoni was Google ambazo unapnyesha video na wakati mwingine adi picha .na kupitia mtandaoni huu watu wanatajirika kirasiku lakini nawewe pia unaweza chakufanya ni kufungua YouTube channel yako ambavyo utakua unaweka video zako na baada ya kufikisha vigezo vya YouTube utaruhilusiwa kuweka matangazo ya Google AdSense ambapo utaripwa kutokana na ago matangazo.lakini sio matangazo ya Google AdSense ambavyo yatakupatia pesa pekeyake apana pia unaweza kutumia njia zingine.basi kama utahitaji kufungua channel yako yayoutube basi unaweza kuweka comment apo chini nami nitakuelekeza.

2.BLOG AU WEBSITE.

Sasa napo panahitaji moyo sana kama wewe umekua au ni mwandishi mzuri na unaitaji kufungua blog yako kwaajili ya kitu furani auto andika Bure lakini kupitia unachokifanya au kukiandika unaweza kujipatia pesa ambapo baada ya kufungua blog yako utaanza kuandika lakini pia kutafuta watembeleaji ambao ndio watakao kuingizia pesa lakini APA pia kuna njia nyingi za kujipatia pesa lakini njia maarufu ni kutumia matangazo ya Google AdSense kama umependa blog unaweza kutengeneza monyewe lakini kama utashindwa unaweza kuniandikia hapo chini sehemu ya comment

Pia Jinsi ya kutengeneza airtel mastercard kwa kutumia simu gusa hapa kusoma

3.APPLICATION

Hii ni njia nyingine ambavyo hii unachotakiwa ni kutengeneza application yako baada ya apo kuiweka PlayStore lakini pia unaweza kutengeneza application yako kwaajili ya matangazo ya Google pia ni njia nzuri ya kutengeneza pesa kupitia mtandao.

Izo njia tatu zinaweza kukusaidia kutengeneza pesa mtandaoni lakini kama utahitaji kutengeneza blog, application, na channel Fanya kugusa hapa kisha utaperekwa YouTube subscriber channel yetu na pia utazikuta video zitakazo kufunza.

Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments