Ticker

3/recent/ticker-posts

KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA.

 Kinywa kutoa harufu mbaya.

Kinya kutoa harufu mbaya ni tatizo kubwa kwako binafisi na hata jirani yako. Na hili  ni moja ya tatizo ambalo linasumbua watu wengi sana lakini usijali kwakua umeshapata matibabu ya tatizo lako.


Sio kila kinywa hutoa harufu kubwa sana lakini kuna baadhi ya vinywa hutoa harufu mbaya sana mbaka in aibu kuongea mbele ya mtu kwa kukalibiana sana.

Na kuna baadhi ya matibabu ambayo watu wanatumia lakini sio ya kutibu Bali ni kwa muda matibabu hayo in kama kutumia dawa ya mswaki,pink,bigijii na vitu vingine ambavyo huondoa harufu mbaya kinywani.

Pia Jinsi ya kutengeneza airtel mastercard kwa kutumia simu gusa hapa kusoma

VISABABISHI.

 Chakula

Chakula ambacho unatumia kinaweza kuwa kisababishi cha matatizo hayo na vyakula kama nyama aijalishi ainagani visababishi vikubwa kwasababu unavyotumia na ukimaliza kula kunamabaki ya nyama kwenye mdomo na vivyo ndivyo vinapelekea harufu mbaya.pia vyakula jamii ya VITUNGUU tangawizi ambavyo hutumia kama kiungo ni visababishi.


Pia hali ya mtu kiafya.

 Hii pia husababisha harufu mbaya kinywani ni yali ya MTU kiafya kama mtu anamatatizo ya kiafya kunaweza kumsababishia kinywa chake kuwa na harufu mbaya sana kutokana na bacteria.


Basi twende moja kwa moja kwa kilicho tuleta Leo tutaangalia

MMATIBABU SITA YA KINYWA KUWA NA HARUFU MBAYA.

bila ya kupateza muda twende tukaone.


Rekebisha chakula unachotumia.

Hii ni moja ya matibabu ambavyo unatakiwa kutumia ni kurekebisha chakula unacho tumia nakushauri pendea kutumia mbogamboga na epuka vyakula ambavyo ukitumia basis vinabakia kinywani ndivyo husababisha harufu mbaya kinywani.


Safisha meno kilasiku.

Hii pia ni tiba ya umuhimu unatakiwa kusafisha meno kilasiku ili kuweka kinywa katika hari nzuri na pia ili kuondoa harufu na baadhi ya mabaki ya vyakula mdomoni hakikisha unasafisha kinywa Mara mbili kwa Siku itakusaidia sana na hip ni moja ya tiba. 


Pata matibabu ya magonjwa ya kinywa.

Kuna magonjwa mengi ya kinywa kwahiyo unachotakiwa kufanya ni kupata matibabu ya magonjwa ya kinywa na hii itakusaidia sana kuondokana na harufu mbaya kinywani kwasababu bacteria wa magonjwa hayo ndio wanapelekea harufu mbaya kinywani.


Hakikisha kinywa hakiwi kikavu.

Pia hii ni moja ya matibabu hakikisha kinywa hakiwi kikavu kwasababu kinywa kikiwa kikavu kinapelekea kutengeneza harufu mbaya ambavyo husababishwa na bacteria ambao wana meng'enya chakula mdomoni.


Hakikisha unasafisha ulimi.

Usishangae nikikwambia kwamba ulimi ndio unao sababisha harufu mbaya mdomoni ni kweli kwamba ukipiga mswaki bila ya kusafisha ulimi esabia ni sawa na bure kwani ulimi ndio unaotoa harufu mbaya kinywani a hakikisha unasafisha kinywa chako kilasiku kwa kutumia mswaki.


Safisha kinywa kwa kutumia dawa ya meno.

Unapo safisha kinywa hakikisha unatumia dawa ya meno ambavyo hiyo inaweza kuuwa bacteria na pia inaondoa harufu mbaya kinywani kwasababu imetengenezwa na kuwekwa vitu ambavyo huweza kuuwa bacteria.kwahiyo tumia dawa ya mswaki ili kusafisha meno yako.


Najua utakua umeweza kujifunza namna gani unaweza kuondoa harufu mbaya kinywani na hii itakusaidia sana na ninja hakika uwezi kuangaika tena na kujificha mbele za watu na kujizuia unapo ongea.

Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload


Reactions

Post a Comment

0 Comments