Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA FACEBOOK PAGE NA NAMNA YA KUTENEZA PESA KUPITIA FACEBOOK PAGE.

 Jinsi ya kutengeneza Facebook page na namna ya kuteneza pesa kupitia Facebook page.

Je wajua?

Watu wenge wanakua wanamiliki Facebook page au wanatumia Facebook lakini hawajui kuwa unaweza kuwalipa basis kwa siku ya Leo nitakufundisha namna ya kutengeneza Facebook page. 



Facebook page ni ukulasa ambao wewe unakua unaweza au unaandika vitu apo kwaajili ya kuwafundisha au kuwapa taarifa watu wengine au wafuasi wake kupitia hili watu wengi wamekua wakiuliza namna gani nitatengeneza Facebook page yangu na nitawezaje kutengeneza pesa kupitia Facebook page basi usiwe na hofu mimi Leo nitakufundisha namna ya kutengeneza Facebook page lekini namna ya kutengeneza pesa kupitia Facebook page itakua katika makala nyingine.

Basi tusipoteze muda twende tukaone namna ya kutengeneza Facebook page yako kwa kutumia simu yako. Nenda moja kwa moja kufungua simu yako baada ya apo fungua application ya Facebook baada ta kufungua nenda ka click sehemu ya mistari mitatu upande wa juu Julia.



Baada ya ukulasa mpya kufungua utaenda moja kwa moja sehemu ya kurasa au page kama utakua ume tumia kiswahili.



Utafungua ukulasa mpya ambao apo utaenda kutengeneza Facebook page yako kwa Ku click sehemu ya juu upande wa kushoto sehemu ambayo imeandikwa unda.



Baada ya apo utatakiwa kuandika jina LA  page yako na hakikisha unaandika kwa kutumia herufi ndogo maana ukitumia herufi kubwa watakataa na ukimaliza nenda Ku click inayofuata.



Utaletwa sehemu nyingine utatakiwa kuchagua kama iyo page yako itahusu blog au mziki au boashara kwaiyo utachakua na kuendelea sehemu inayo fuata ambayo utatakiwa kuweka picha za Facebook page yako na utaendelea mbele ambapo utatakiwa kuandika Namba za simu na vitu vingine lakini kama utakwama mahali usiache kutuuliza.



Najua utakua umejifunza kitu namna ya kutengeneza Facebook page yako kwa kutumia simu yako ambayo baadae itakusaidia sana kutengeneza pesa kupitia Facebook na pia usisahau Ku subscriber channel yetu ya YouTube kwa mafunzo mengene.


Reactions

Post a Comment

0 Comments