Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA AIRTEL MASTERCARD.

 Jinsi ya kutengeneza airtel MasterCard.

Je wajua ? 

MasterCard ni shirika la kadi LA kimataifa ambalo linafanya kazi na taasisi za kifedha ikiwemo airtel money na benk kutoa huduma za kadi.


Airtel MasterCard ni kadi ya kidijitali(isiyo ya plastic) ambayo imeunganishwa na airtel money yako ili kukuwezesha kufanya miamala mtandaoni.

Aina ya malipo kadi itakuwezesha kulopia huduma na bidhaa mbalimbali mtandaoni MF. Aliexpress,Amazon, Netflix,uber na zingine nyingi.

Kadi hii ni ya kidijitari(isiyo ya plastic) iliyounganishwa na huduma yako ya airtel money wakati kadi zingine mfano ya benki in ya plastiki.

Baada ya kusema hayo twende tukajifunze Namba ya kutengeneza airtel MasterCard. Chakwanza kabisa fungus simu yako kisha elekea mahari ambapo unafanyia miamala kama kutuma pesa,kununua vifurushi na mambo mengine mengi andika Namba izi *150*60# baada ya kuandika Piga.




Itakuletea ukurasa mpya ambapo we we utatakiw kuchagua Namba 4 NNE ambapo pameandikwa MasterCard na ukimaliza apo Piga.




Itakuletea ukulasa mpya ambapo hapo utatakiwa kuchagua Namba moja ambayo ni tengeneza card na uki Piga.




Itakuletea tena ukulasa wa mwisho ambapo we utatakiwa kuandika Namba za siri na kupiga tena




Itakwambia usubiri kadiyako kwa sekunde chache tayari airtel MasterCard yako itakua imetengenezwa na utapokea ujumbe kupitia sms na katia ujumbe huo kutakua na Namba lakini zitakua azijakamilika ili kupata taarifa zote za kadi yako utatakiwa Ku bonyeza link ambayo utakua umetumiwa.



Pia Jifunzejinsi ya kutengeneza mpesa matercard kwa kutumia simu gusa hapa kujifunz


Baada ya kubonyeza iyo link itakuletea kwenye chrome na utatakiwa Ku copy taarifa zote lakini pia hapa tunatumia internet.





Mbaka hapo utakua umefanikiwa kutengeneza airtel MasterCard kwa kutumia simu yako lakini pia kwa maelezo zaidi utauliza hapo chini na pia nitakufundisha jinsi ya kutengeneza mpesa MasterCard.


Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments