Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUWEKA MWONEKANO WA GIZA GOOGLE PLAY STORE.

 Jinsi ya kuweka mwonekano wa Giza Google play store.

Je wajua?

Kama tulivyo ongea katika makala iliyopita ambapo tulijifunza namna ya kuweka mwonekano wa Giza Facebook basi kwa siku ya Leo tutazungumzia Google play store ambapo APA tutajifunza namna ya kuweka mwonekano wa Giza Google play.


Kama unavojua kwamba mwanga mweupe sio rafiki kwa macho na pia kama unavyojua kwamba nayo simu wakati mwingine sio nzuri kwasababu inaweza kukusababishia matatizo ya macho ndio maana tumekuletea makala hii ambayo tutakufunza namna ya kuweka mwonekano wa Giza Google play ili ikusaidie na kukuepusha na matatizo ya macho.

Bila ya kupoteza muda twenze tukatazame nini cha kufanya kwanza kabisa fungus simuyako nenda katika application ya Google play kisha fungua na ukisha fungua home page.nenda upande wakushoto juu kunavimisitari vitatu bonyeza.




Baada ya kubonyeza ivyo vimisitari vitatu itakuletea orodha ambapo apa utatakiwa kuchagua setting kisha bonyeza.




Itakuletea tena option nyingi ambapo apa utatakiwa kuchagua theme kisha bonyeza.



Na mwisho itakuletea options tatu ambapo apa utatakiwa kuchagua dark na kubonyeza na hapohapo itabadilika na kuwa mwonekano wa Giza.




Natumaini utakua umenielewa na utakua umejifunza kitu na hii itakusaidia sana kutokana na mionzi mikali ya macho ni ivyo tu pia jifunze kuweka mwonekano wa Giza Facebook hapa hapa wajua blog.


Reactions

Post a Comment

0 Comments