Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTUMA GFT FACEBOOK.

 Jinsi ya kutuma gft Facebook.

Je wajua?

Kwamba Facebook wamekuja na gft kama WhatsApp sasa upande wa message Facebook wameleta gft kama ulikua ujui gft nikama video fupi ambazo zimekua zime editiwa na kuwekewa ujume na up ujumbe unakua katika mfumo wa video fupi kama WhatsApp.


Sasa kama wewe ni mvivu wa kuandia ujumbe mrefu basis hii itakusaidia sana maana utakua tu unazituma izo yaani kama WhatsApp na telegram. Bila ya kupoteza muda twende tukaone namna ya kuzituma.

Utafungua simu yako kisha nenda upande wa application chagua ya Facebook maana ndio tunayo itumia hapa baada ya kuifungua sasa chagua sehemu ya message Facebook.



Baada ya kuchagua ingia na utakuta marafiki ambao ulikua unachati nao basis unachotakiwa ni kuchagua mtu unae mtaka.



Baada ya apo utaona uwanja kwaajili ya chati angalia chini kutoka kushoto sehemu ya pili utaona GFT basis apo ndipo uta click.




Baada ya kuclick utaona gft nyingi zinafunguka au zina load subili kisha utaziona na kuchagua unayotaka au unaweza kuzi search au kuzitafuta kwaajili ya ujumbe unao utaka baada ya kuchagua utaon.



Utaona kua umefanikiwa kutuma na unae mtumia ataiona na kuweza kujibu kutokana na ujumbe ulio tuma. Ndo ivyo tu nilivyo kuletea siku ya Leo na itakusaidia sana maana kuandika ujumbe mrefu ni kazi sana na hasa wale watumiaji wa Facebook wavivu kuchati basis tumia hii.



Reactions

Post a Comment

0 Comments