Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KULAZIMISHA '4G PEKEE' KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID

 Jinsi ya Kulazimisha '4G Pekee' kwenye simu yako ya Android

Je wajua ?

Kwa sasa watu wamekua wakilalamika kuwa sasa simuyangu network inasumbua au ainaspidi intranet basis siku ya Leo nikaona isiwe tabu nikaamua nikuletee moja ya njia ambayo kama aitofanya Nazi kwenye simu yako basis usiangaike niandikia apochini sehemu ya comment maana nitaleta njia zingine. Hii India itakusaidia sana maana unaweza kulazimisha  kuwa 4Gpekee kwa kutumia simu Yako.


Basis bila ya kupoteza muda twende tukaone namna ya kufanya kwa kutumia simu yako ya android pekee.moja kwa moja fungua simu yako nenda sehemu ambayo unafanyia miamala baada ya kwenda apo andika code hizi *#*#4636#*#*.baada ya kuandika ivyo utaona ukurasa mpya.



Baada ya kuona ivyo click mahari pa phone info na uki click utaletwa ukulasa mpya.



Ambapa hapa unachotakiwa kufanya ni kushuka mbaka maali walipo andika WCDMA preferred. Uta click apo kisha itakuletea option nyingi.



Baada ya kukuletea ivyo we chagua WCDMA only lakini hii inakua tofauti kwa kilasimu labla simu yako.unaweza kukubali lakini.usiofu maana tutakuletea njia zingine .



Baada ya Ku click apo naona utakua umeona utandao unaanza kusearch upya basis hii itakusaidia sana.



Mbaka hapo nimefikia mwisho wa makala hii kwa siku ya Leo Ila usiache kutufwatilia maana tutazidi kukuletea vitu vizuri na pia usisahau kusubscribe channel yetu kwa mafunzo zaidi.


Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments