Ticker

3/recent/ticker-posts

NJIA RAHISI YA KUWEKA MWONEKANO WA GIZA FACEBOOK.

 Njia rahisi ya kuweka mwonekano wa giza Facebook.

Je wajua

Kwamba kuweka mwonekano wa giza katika simu au Facebook itakusaidia sana hasa kwa watu wale ambao wanapenda kutumia simu na hasa upande wa  Facebook Hii ni kutokana mwanga wa simu unaweza kukuletea madhara makubwa katika macho yako na hii ni hatari sana maana unaweza kujilete matatizo ya macho mwenyewe bila ya wewe kujua lakini katika simi ya leo nimeamua nikuletee kitu ambacho kitakusaidi na huu mwanga.bila ya kupateza muda twende tukatazame njia hiyo.


Unachotakiwa kufanya ni kufungua simu yako na kuwasha data moja kwa moja elekea upande wa Facebook namaanisha fungus application ya face book. Baada ya apo angalia upande wa kulia juu utaona mistari mitatu baada ya apo click.



Pia Jinsi ya kutengeneza airtel mastercard kwa kutumia simu gusa hapa kusoma

Baada ya kuclick itakuletea ukulasa mpya kama unavyo ona apochini nenda ka click kwenye modi kolevu baada ya apo utaona Facebook yako imebadilika na kua na mwonekano mpya ambao auumizi macho.



Nadhani hii itakusaidia dhidi ya matatizo ya macho na pia itawasaidia wale watu wenye matatizo ya macho.


Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments