Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUWEKA MWONEKANO WA GIZA GOOGLE CHROME KUPITIA SIMU ZA ANDROID.

 Jinsi ya kuweka mwonekano wa Giza Google chrome kupitia simu za android.


Je wajua?


Najua utakua upepitia makala zetu ambapo tulisha fundisha kuhusu kuweka mwonekano wa Giza Google play store, youtube na Facebook basi kwa Siku ya Leo tutazungumzia google chrome nia yetu ni tujikinge dhidi ya mionzi mikali machoni ndio maana tunatoa mafunzo haya.



Na pia somo hili tutazungumzia kuhusu izo simu za android kwanza kutokana na hatua huwa zinatofautiana na simu zingine kama iso na zingine nyingi.


Kama unavojua kwamba mwanga mweupe sio rafiki kwa macho na pia kama unavyojua kwamba nayo simu wakati mwingine sio nzuri kwasababu inaweza kukusababishia matatizo ya macho ndio maana tumekuletea makala hii ambayo tutakufunza namna ya kuweka mwonekano wa Giza Google chrome ili ikusaidie na kukuepusha na matatizo ya macho.


Bila ya kupoteza muda twende tukaone nini cha kufanya kwanza kabisa fungua simu na nenda katika application ya chrome na fungua baada ya apo nenda upande wa kulia juu utaona vidoti vitatu bonyeza hapo.



Baada ya kubonyeza shuka chini mbaka mahali walipo.andika setting bonyeza hapo.



Na utakuta ukurasa mpya ambapo hapa utatakiwa kuchagua theme kisha bonyeza hapo.




Baada ya kubonyeza watakuletea option zingine ambapo hapo utatakiwa kuchagua dark na kubonyeza.




Baada ya kubonyeza mwonekano wa Giza utatokea hapo hapo na utakumia simuyako katika mwonekano juu.




Natumaini utakua umejifunza kitu katika makala hii kwa Siku ya Leo kwa mambo mengine mengi endelea kutufwatilia ili kujifunza.

Reactions

Post a Comment

0 Comments