Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA LOGO(NEMBO) KWA KUTUMIA SIMU.

 Jinsi ya kutengeneza logo(nembo) kwa kutumia simu.

Je wajua?

Kila mtu katika dunia hii anawaza kuanzisha biashara YAKE lakini kamba unataka kuanzisha biashara na has a biashara za mtandaoni zinahitaji uwe na nembo yako hata biashara za kawaida zinahitaji uwe na nembo yako kutokana na hilo basi watu wanawaza kila siku nitatengenezaje logo yangu na ukiangalia mitandao.ambayo inatoa huduma ya kutengeneza  logo inahitajj wewe kulipia na ndio maana nimewaletea hili Leo.


Njia rahisi ya kutengeneza logo jitaidi kutengeneza logo fupi ambayo itabeba maana kubwa hata  kwa kutumia herufi moja tu unaweza kuunda logo nzuri ambayo itatambulika na watu wengi duniani.

Kwaiyo unachotakiwa kuwa nacho ni application ambayo inaitwa pixellab pia download HAPA ambayo inapatikana katika soko la play store utadownload na Ku installed katika simuyako na hatua inayofwata ni.

Kuangalia video hapo chini ambayo itakusaidia kujua namna gani unatakiwa ku tengeneza logo yako nzuri Bure kabisa.



Najua utakua umejifunza kitu hapa namna gani unaweza kutengeneza logo yako nzuri Bure kabisa ambayo itakusaidia wewe kukuza biashara yako lakini pia ni kitambulisho chako.

Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments