Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA BLOG KWA KUTUMIA SIMU.

 Jinsi ya kutengeneza blog kwa kutumia simu.

Je wajua?

Blog ni kama tovuti ambayo inawaruhusu watumiaji wake kuandika post ndefu kilasiku.kwa siku ya Leo tutajifunza namna ya kutengeneza blog kwa kutumi simu au kompyuta unachotakiwa kufanya ni kufwatilia makala hii mwanzo mbaka mwisho ili upate kunielewa.


Na pia kuna njia nyingi au kuna mitandao mingi ambayo inatoa huduma za kutengeneza blog lakini Leo tutajifunza kwa kutumia blogger kwasababu blogger wanakuwezesha kumiliki blog bure na pia blogger toa blog ambazo zinapatikana kwenye search engine kwaiyo ni vizuri kutumia blogger kwa kutengeneza blog yako.

Basi baada ya kusema hayo unachotakiwa ni kuwa na domain yako ili iwe rahisi kukubaliwa na Google AdSense ila pia unaweza kununua domain kwa kusoma makala hii itakufunza.

Unachotakiwa kufanya ni.kuangalia video hiyo chini mwanzo mbaka mwisho ili uweze kujifunza na pia wewe pekeyako uweze kumiliki blog yako.



Tembelea  Blogger kwa kugusa hapa

Natumini utakua umejifunza namna gani ya kutengeneza blog yako kwa kutumia blogger kwa mambo mengine mengi tembelea blog yetu kilasiku kwa mafunzo mengi.

Reactions

Post a Comment

0 Comments