Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA MPESA MASTERCARD.

 Jinsi ya kutengeneza mpesa MasterCard.

Je wajua ? 

MasterCard ni shirika la kadi LA kimataifa ambalo linafanya kazi na taasisi za kifedha ikiwemo mpesa money na benk kutoa huduma za kadi.


Airtel MasterCard ni kadi ya kidijitali(isiyo ya plastic) ambayo imeunganishwa na mpesa money yako ili kukuwezesha kufanya miamala mtandaoni.

Aina ya malipo kadi itakuwezesha kulopia huduma na bidhaa mbalimbali mtandaoni MF. Aliexpress,Amazon, Netflix,uber na zingine nyingi.

Kadi hii ni ya kidijitari(isiyo ya plastic) iliyounganishwa na huduma yako ya mpesa money wakati kadi zingine mfano ya benki in ya plastiki.

Baada ya kusema hayo twende tukajifunze Namba ya kutengeneza M-pesa MasterCard. Chakwanza kabisa fungus simu yako kisha elekea mahari ambapo unafanyia miamala kama kutuma pesa,kununua vifurushi na mambo mengine mengi andika Namba izi *150*00# baada ya kuandika Piga.



Itakuletea sehemu mpya ambapo hapo utatakiwa kuchagua Namba 4 lipa kwa m pesa na Piga.


   Pia Jinsi ya kutengeneza airtel mastercard kwa kutumia simu gusa hapa kusoma

Itakuletea sehem yingine ambapo we we utatakiwa kuchagua Namba 6 MasterCard na ukiandika Namba Piga .





Itakuletea sehemu ya mwisho ambapo utatakiwa kuchagua Namba moja ambayo ni tengeneza card na kupiga.





Hapo hapo itakuletea taarifa za kadi zako lakini pia watakutumia kupitia SMS na utakua umemaliza.





Nadhani utakua umenielewa na kuanzia sasa utaweza kutumia mpesa MasterCard kufanya chochote mtandaoni na kama ujasoma makala ya kutengeneza airtel MasterCard basi gusa hapa kusoma 

Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments