Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA VIDEO INTRO(KIANZIO) KWAAJILI YA VIDEO ZA TAARIFA YA HABARI.

 Jinsi ya kutengeneza video intro(kianzio) kwaajili ya video za taarifa ya habari.

Je wajua ?

Kama unavyo ziona taarifa za habari kama ITV,star tv,azam news kuna kama kianzio bas kwa simu ya leo nitakufunza Namba ya kutengeneza hivyp vianzio za video lakini tutajifunza video za taarifa za habari.


Bila ya kupoteza muda nitakutajia baadhi ya application ambazo utatakiwa kuwa nazo kwanza unataziwa kuwa na application ya KINEMASTA download hapa inapatikana kwenye soko la playstore unaweza kudownload huko application nyingine ni pixellab download HAPA nayo inapatikana play store unatakiwa Ku download.

Baada ya kuanavyo hivyo vyote angalia video hapo chini itakufunza Namna ya kutengeneza kwa kutumia simu yako.




Baada ya kuangalia apo juu Luna video au video fupi ambayo imetumika hapo unaweza Ku download HAPA.na Ku save kwenye simu yako

Najua kama wewe unachannel ya habari unaweza kutengeneza kwa kutumia njia hiyo asante kwa kusoma makala hii mwanzo hadi mwisho.


Asante kwa  kuwa nasi lakini pia ili usipitweNa vitu vingi pia unaweza kujifunza kupitia youtube channel yetu gusa hapa uka subscribe ili kupata notification za video zetu mpya kila tuki upload

Reactions

Post a Comment

0 Comments