Ticker

3/recent/ticker-posts

JINSI YA KUDOWNLOAD KITABU CHOCHOTE MTANDAONI BURE.

 Jinsi ya kudownload kitabu chochote mtandaoni Bure.

Je wajua ?

Kila MTU anataka kujifunza kitu lakini anakosa vitu vya kujifunzia basis kwa siku ya Leo nimekuletea njia bora ambayo itakusaidia wewe Ku download kitabu cha aina yoyote mtandaoni ambacho utakitumia kwaajili ya kujifunzia kwaiyo kuwa na Mimi mwanzo mbaka mwisho ili kujifunza zaidi.


Unacjotakiwa kuwanacho ni kuwa na application ambayo itakusaidia wewe kufungua PDF kwasababu vitabu hivyo vitakua katika mfumo wa PDF kwaiyo unatakiwa kuwa na application hiyo au unaweza kufungua PDF kupitia Google chrome pale ambapo utakuwa na mb.na vitabu hivyo vinakuwa sio vikuwa sana namaanisha kitabu kikibwa sana basis kina mb 4 lakini pia vitabu hivyo vinapage nyingi mbaka 500 kwa kitabu kimoja.


Nisikuchoshe sana basis twende tukajifunze kuhusu hilo namna ya kudownload kitabu bure. 

Kwanza kabisa gusa hapa na utapelekwa kwenye website ambayo itakusaidia Ku download kitabu na ukifungua home page itakua katika muundo huu.




Unachotakiwa kufanya ni kusearch kitabu chochote hapo juu baada ya Ku search utaona orodha ya vitabu vingi chagua kimoja kisha.



Utafika mahari pa kudownload basi boyeza download na itaanza Ku download kitabu chako moja kwa moja na utakifungua na kukitumia.



Hiyo ndio njia rahisi ambayo nimekuletea kwa siku ya Leo tukutane tena kesho kwa mafunzo na maujanja mengine.

Reactions

Post a Comment

0 Comments